SIR JEFF⚡🇹🇿
Veni,Vidi,Vici💪//Futurist🦾//Sarcasm🤣//Critic of Morals & Culture📢//Cypherpunk💻//OXXON💙//BTC🧡//$TSLA📈//Stories✍️//Nietzschean🧠 & Kanyenized🐻
عرض في 𝕏سلاسل التغريدات
Maishani kuna matukio tunakutana nayo ya kushtua na kutisha kiasi kwamba unaamua kuweka siri moyoni na kutomwambia mtu Tufunguke baadhi ya siri. Nitaanza UZI🧵 https://t.co/6LJPjM...
🎙BUNGE LA VIJANA🎙 Quick summary japo niliwahi kulala -Unaniruhusu kuchana mikeka ya watu leo? Unajua sisi ndio wale majobless, hatuna kazi ila tuna kitu? -Kwenye maisha bila men...
🎙BUNGE LA VIJANA🎙 Baadhi ya quotes na summary: -Usiwaze sana ganji💵kwenye biashara, fikiria kuhusu wateja -Take time usiwe na haraka, usikurupuke pia usiOverreact -Kesi yako nd...
Kwa wale ambao mlikosa mialiko ya kuhudhuria kikao cha wanaume cha mwaka huu kiliyofanyika Lusaka, hivi ndio vitu tulivyokubaliana. UZI 🧵 https://t.co/f6hxXe8WJ9
ZETU DAGAA, KUKU TAMAA! Tohora mzaliwa wa Bagamoyo, mtoto wa kishua mzee wake alikua m/kazi wa Ikulu na ubalozini Kufika miaka 31 alioa Mkenya, wakaishi nchi mbalimbali km Ujerum...
Mwanangu, mm ndio nakufa, nisamehe sn nakuacha ukiwa bado mdogo Si kupenda kwangu kufa mapema hiv lkn Mungu hakunipa chaguo la 2 Una vitu ving vya kujifunza na utafanya makosa men...
Kwenye kujitafuta km kijana ktk harakati za hapa & pale zakupindua meza, nikapata mwaliko kwenda SA 🇿🇦. Hiyo ilikua 2018, nilitakiwa kukaa huko kwa wiki 1, aisee si nikayatimba b...
Hawa jirani zetu wa Kenya🇰🇪 hua wanapenda sana sifa na madharau ya kijinga. Sisi waTZ hua ni wapole na wastaarabu, ila ukicheza sana na mbwa siku 1 atakufata hadi msikitini. Tuw...
-Nimemaliza kusoma kitabu cha 2 kwa 2024 -Oliver Twist ni one of my favorite childhood novel -Napenda sn Victorian🇬🇧 era books fiction sijui kwanini ila uandishi wa authors ni clas...
Kuna jamaa nilikutana nae huku bushi maeneo ya Ipogoro juzi trh 2 Jan. Ndani ya muda mfupi tu tuka-click vzr, tukaanza kupiga story za maisha. Jamaa ni Msukuma wa Miswe anaitwa N...
THE MONEY GAME...💵 Soma huu uzi kama una miaka 18-30. Uzi 🧵👇 https://t.co/X4QJnJapkS
Katika maisha yng sijawahi kufanyiwa job interview,so sijui experience inakuwaje mtu akiwa intervied Ila, nimefanikiwa kuinterview mamia ya watu,nikimsikiliza mtu kwa dakika 10 tu...