SIR JEFFโšก๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ
SIR JEFFโšก๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ

@Sirjeff_D

18 Tweets 48 reads Jan 03, 2024
THE MONEY GAME...๐Ÿ’ต
Soma huu uzi kama una miaka 18-30.
Uzi ๐Ÿงต๐Ÿ‘‡
1. Nimeshakua maskini mpk kufika hatua ya kukosa mia 5 ya kula mlo mmoja wa mihogo.
Nishakua na pesa mpk kufikia hatua ya kuishi apartment ya $2k (Tzs 5M) per month, in the wealthiest suburb in the country.
Na nisharudi hatua ya kulala hostel chumba cha elfu 40 per month...
2. Katika hivi vipindi vyote viwili nimejifunza vitu vingi sn.
Kwenye huu uzi kwa leo nitashare vichache nilivyojifunza kwa sababu ya muda (majukumu) na changamoto ya mtandao huku porini nilipo kujitafuta upya baada ya kuanguka chini tena, from riches.
Tuanze sasa...
3/
i) Nilikua na mshkaji wng tumekua pamoja kipindi cha O'level, mimi nasoma St. Anthony's Sec (my fav teacher was Madam Mosha)
Jamaa ang alikua anasoma Feza Schools (ile Feza PRIME kbs) -rich kids' school. Mzee wake alikua na utawala mnene sn TRA, his family was really wealthy
4/
Tukapotezana 2011 baada ya kuanza high school, Fm4 Jamaa kagonga i.13 mimi nikala zng ii.18
Nikaenda Bukoba, Ihungo Boys (ile Ihungo zamani ya Mr. Boniventure ya kwanza) sio hii mpya iliyojengwa na JPM
Jamaa yng yeye kwao kuna maelekezo akaenda kusoma Melbourne, Australia
5/ Lesson no1
MAJI HUFATA MKONDO ILA PESA HAINA MKONDO.
Jamaa yng tukaja ku-reunite 2017 baada ya kutoka chuo, alikuja ofisini kwangu St. Peter's O'bay, akaniomba hela ya kula na nauli 20K
Hkn mtu aliyezaliwa na pesa, kila mtu kaja duniani uchi, your background doesn't matter
6/
ii. Around 2018-19 nilikua na pesa nyingi sn in liquid cash ukilinganisha na umri wng, i was around 24 yrs.
Kunikuta na mil80 au $20k cash kwa gari ilikua kawaida sana
Pesa ni nzuri, pesa ni tamu, inatatua shida zako na inakupa options nyingi, lakini....
7/
Too much of ANYTHING is POISON. Kuwa na pesa nyingi sn unexpectedly ni sumu mbaya kuliko coccaine
Pesa inakuruhusu uwe na kiburi cha kufanya makosa mng sn ya kipumbavu
Wealth is a process, step by step. MoDewji anasema "you can't climb your way to success with an elevator
8.
iii/ MONEY GAME IS A WAR
Pesa ni vita, na hkn vita mbaya km vita ya kiuchumi. Ukiwa kwnye mchakato wa kufanikiwa utaalika maadui wengi sn
Your worst enemies ni rafiki zako wa karibu kbs mnaokula wote ubwabwa kwenye sahani 1
Be cautious with friends. Mchawi wako hatoki mbali
9
Nina mwanangu nimemsupport kuishi nae kwangu under same roof more than 8 months. I pay the bills!
Nimelea 100% ujauzito na kujifungua kwa mkewe na gharama za mwanzo za kulea mtoto, still jamaa alinisnitch akanichoma TRA kuwa silipi kodi ktk business dealings zng
Vita ni vita!
10.
iv/ My very popular principle
Fanya kila kitu unachoweza ktk kutafuta utajiri ila usifanye vitu vinne;-
โŒ๏ธUsiue
โŒ๏ธUsishikishwe ukuta
โŒ๏ธUsiibe haki ya mtu
โŒ๏ธUsiende jela
Huwezi kutajirika kwa kunyooka 100%, hicho kitu hakipo, lazima ucheze rough ila epuka hivo vinne
11.
v/
Nikiwa Sec nimeuza maandaz
Nikiwa Kanembwa nimeuza viatu
Nikiwa UDSM nimefanya kilimo, ufugaji, gadgets. nk
Nikiwa na miaka 21 nikawa mmoja kati ya wajasiriamali bora zaidi Africa
Start young. Save, invest, build now. The earlier you act, the bigger your chances
12.
vi/ PESA HAINA MWENYEWE
Niamini mm, ukipata pesa ukakaa nayo ndani ama kutunza benk lazima itakutoroka yote
Pesa ni km mshale wa saa, inazunguka, haikai sehemu 1, huwezi kutajirika kwa biashara 1, invest as much as you can
Tafuta fursa kushoto, kulia na katikat, usilale!
13.
vii/ Nimepata bahati ya kuwa karibu na watu wengi sn from diff professionals, list ni ndefu mno; my point is ISHI NA WATU VZR
Kutoboa lazma uwe na marafiki wa uhakika, uwe well connected, u-build reputation, uweze kuji-position, uwe na mentors (RIP balozi Capt Abu Ibrahim)
14.
viii/ Kufanikiwa kunaanza na kuridhika. RIDHIKA NA ULICHONACHO
Hkn kitu kinaua dreams km tamaa. "Chunga tamaa mbaya." Alisema 20%
Tamaa itakufanya usi-apprecuate mafanikio madogo uliyonayo
Tamaa itakufanya uchukie watu unaotakiwa kujifunza kutoka kwao.
Tamaa ni sumu.
15.
ix/ Kutajirika ni kama kujipaka Mavi, pia kutajirika ni km kujipaka marashi.
Piga uwa galagaza, ukifanikiwa lazima utapata watu watakaokuchukia for no reason.
Piga uwa galagaza, ukifanikiwa lazima utapata watu watakaokupenda for no reason
Jifunze kubalance hate & love
16.
Muda unanibana, I have to sign off
Ila kitu cha mwisho...
Babu zetu walitajirika kwa ku-explore nature (hunting, agriculture, fishing etc)
Baba zetu walitajirika kwa ku-explore machines
Kizazi chetu matajiri ni watu watakao-explore data, information, skills & knowledge
Nimechoka kutype, pia niwahi kupiga mishe za kujitoa mavumbini, maana hapa natweet sina ht hela ya supu... but I hope this thread was helpful for anyone striving to achieve success.
Let's meet at the top. WAGMI - We're All Gonna Make It

Loading suggestions...