Johansen
Helping Crypto & Blockchain Start-Ups and investors to scale up with ads, outreach, content creation by Writing and marketing to increase awareness and revenue
عرض في 𝕏سلاسل التغريدات
Kuna pesa ndogo ndogo Fiverr ukizikusanya hukosi pesa ya unlimited Put up some gigs and see what you get Unaanzaje..? Unatengeneza gigs tu Fiverr wanakufanyia marketing kwa kuku...
Kipindi sijafanya maamuzi magumu (kuacha kazi) Nilikuwa najiuliza sana Hili swali...? Hii nguvu ninayotumia kumfanyia kazi huyu boss, nikiiwekeza kwenye mishe za online 24/7 siw...
Jinsi ya kujipatia dola $10 kwa siku kupitia freelancing au kufanya kazi online True story Dunia inabadirika kila siku, technologia inazidi kubadirisha kila kitu kuanzia Ufanyaj...
Nimetuma proposal nyingi Upwork Hazijibiwi Unatakiwa kuomba kazi kwa client mwenye sifa zifuatazo 1) >4.5 star reviews 2) >90% hire rate 3) locations za Europe na US 4) Paymen...
Gigs za digital marketing unazoweza kufanya kwenye freelancing (Chagua niche) ✍️Social Media Marketing ✍️Search Engine Optimization (SEO) ✍️Social Media manager ✍️Content Marketin...
Maokoto ya Fiverr Kwa Freelancers wanaotumia #Fiverr Jinsi ya kufanya gig yako ionekane kwa clients Tujikumbushe gig yako ya Fiver ni kama duka au biashara yako ambayo inategemea...
Skills unazoweza kujifunza ukiwa chuoni ( Mpaka unamaliza chuo utakuwa mbali sana) (Ukiwa mtaani tafuta skills za kukupa pesa ya haraka kwanza) 1. Web design/development Kwa kutu...
Kitabu chochote kile kilichopo duniani, utakipata kwenye hizi website bure 100% 1. Mobilism https://t.co/C4fCRmAkQw z-library https://t.co/HeNANNgb0n Lib-gen https://t.co/1WDWEf...
Ijue Generative AI technologia mpya ya Artifical Intellegence Inayoweza kutengeneza maudhui (Content) kama maandishi (content), picha, na mziki (Music) na maudhui mengine Inaweza k...
Ukweli usiofahamika kuhusu @Upwork kwanza kabisa Tanzania kuna freelancers wachache sana ukilinganisha na nchi nyingine https://t.co/BkG9k0Vie5 Upwork ilianzishwa mwaka 2014 kwa...