5 Tweets 1 reads Aug 13, 2024
Kuna pesa ndogo ndogo Fiverr ukizikusanya hukosi pesa ya unlimited
Put up some gigs and see what you get
Unaanzaje..?
Unatengeneza gigs tu Fiverr wanakufanyia marketing kwa kukuletea wateja dms.
Unapojiunga mara ya kwanza utakutana na scammers wakufundishe kutumia fiverr.
Kosa kubwa utakalofanya unapoanza Freelancing ni
Kujiaminisha kuwa hauna ujuzi wowote
(wakati una certificate kibao kwenye begi)
Ukweli ni kila mtu ana kitu anaweza kukifanya vizuri
Unaweza kuanza na zile kazi nyepesi ila zinachukua sana muda
Zinaitwa (virtual assistant works)
Kazi za kuanza nazo
Virtual assistant
Data
Writing
Social media
Graphics
AI related
Kufanikiwa kwenye Freelancing platforms inabidi ujue kucheza na algorithm zake
Usiende kama kipofu
Dunia nzima wanajua (ukitaka freelancer wa bei ndogo nenda Fiverr)
Fiverr ni nzuri kwa wanaoanz kujitafuta na ambao hawawezi kujisimamia wenyewe
Kwahiyo ukiweka gigs zako zitanunuliwa tu hata kwa bei ndogo
Kama umeweza kujiunga ajira portal (ya tz)
Ukaweka taarifa zako zote
Ukasubiri kazi zitangazwe utume maombi
Unaweza pia kujiunga na Fiverr
Ukaweka gigs zako
Ukasubiri kazi na clients wakufate
wa.me

Loading suggestions...