7 Tweets Mar 19, 2024
Kipindi sijafanya maamuzi magumu (kuacha kazi)
Nilikuwa najiuliza sana
Hili swali...?
Hii nguvu ninayotumia kumfanyia kazi huyu boss, nikiiwekeza kwenye mishe za online 24/7 siwezi kutoboa?
By that time unaingia kazini saa moja unatoka saa mbili Usiku.
Saa 2 nalala saa 9
Usiache kazi lakini
Tenga muda invest kwenye business model yoyote ya online
Anza na hizi
1. Affiliate marketing
2. Writing
3. Audience building
4. Social media marketing
5. Freelancing
6. Usitumie mshahara wako kwenye Forex (tumia pesa za nje ya mshahara)
Next skills ๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡
Ukisikia online kuna hela
Hiyo kauli usidharau
Kuna watu wengi wanatamani
Kujua unachokifanya
7. Coaching
8. Consultation
9. Selling digital products
Ukifungua page Facebook leo
Ukaanza kupost video za mtu yeyote anaye trend Tanzania
Itachukua miezi 3 - 6 kufikisha 100k followers
Hiyo page ukoanza kupost affiliate links za betting, forex, etc
Nakuhakikishia hukosi pesa za wanaochana mikeka kila siku
(I do this)
Tips kama hizi utazipata WhatsApp
wa.me
Kuna online business unazoweza
Kufanya ukiwa kazini, chuoni, nyumbani
Anza hivi
Nitakupa mfano wa hii
Ninayoifanya nikiwa hapa
Shambani
I wish i knew this before
Tengeneza tiktok account, facebook page, Instagram page,
X achana nayo kwanza
Zikuze mpaka zifike 100k followers
(Usiwaze sana zitakupatiaje pesa)
Ukifikisha 50 to 100k
Njoo uniuzie hiyo account๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ
(Laki mbili) Jokes
Njoo nikuoneshe kupiga pesa
Kupitia followers
Your Mentor will teach you how to fish
Ila swala la wewe kuvua au kutokuvua ni maamuzi yako
Mfano halisi ๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡

Loading suggestions...