12 Tweets 5 reads Feb 05, 2024
Nimetuma proposal nyingi Upwork Hazijibiwi
Unatakiwa kuomba kazi kwa client mwenye sifa zifuatazo
1)Β  >4.5 star reviews
2) >90% hire rate
3)Β  locations za Europe na US
4) Payment method verified
5) Maximum 10 number of proposals
List ya mambo muhimu ya kuzingatiwa πŸ‘‡πŸ‘‡
Apply within 30 minutes after job posted
Client bado anakuwa online ni rahisi kumpata
kazi unayoomba iwe relevant na title & skills zako (client wanapenda freelancer ambae yupo specific)
Usiombe kazi kwakua unaiweza, omba kazi ambayo inaenda na profile yako na skills zako
Usitume mawasiliano yako kwa client ili uwasiliane na client nje ya Upwork
Unaruhusiwa kufanya hivyo baada ya kupewa contract
Usikubali kulipia pesa yoyote, ili upate gig (hasa wale wa telegram)
Usipoteze connects zako kwa kuomba kazi iliotumwa zaidi ya nusu saa AU yenye proposals zaidi ya 15
Malipo yote yafanyike ndani ya Upwork au fiverr
Unless uwe mzoefu wa hizi kazi
Angalia reviews za clients alizopewa na freelancers wengine,
Ni rahisi kujua huyo ni client wa aina gani
Kuwa makini na clients wa Asia (india, Pakistan) wengi ni madalali
Wanakupa kazi nyingi, malipo kidogo
Usikubali kufanya kazi bure
Kwa kisingizio cha test task
Utaambiwa we have decided to go with other person wakati kazi ushakabidhi
Pia napenda kuomba kazi ambazo naona client ashatumia more than $3k
Anakuwa yupo serious kuliko wale ambao hawajatumia hata $1k

Loading suggestions...