2. Upwork ina zaidi ya watumiaji milioni 18 waliosajiliwa kama #freelancers na watumiaji milioni 5 waliosajiliwa kama #clients kutoka sehemu mbalimbali za dunia.
3. @Upwork ina kipengele kinachoitwa "Massage" kinachowezesha #clients na #freelancers kuwasiliana kwa kutumia mazungumzo ya maandishi, sauti, na video.
Au kufanya live meeting
Au kufanya live meeting
4. Upwork ina programu inayoitwa "Upwork Plus" inayounganisha Clients na freelancers wenye ujuzi na uzoefu wa muda mrefu ambao wamefanya kazi nyingi na kusifiwa sana na wateja wao (#toprated).
5. Upwork ina application ya kufuatilia muda inaitwa "Upwork Desktop App," ambayo inawasaidia #clients kufuatilia muda uliotumika na freelancers mpaka kukamilisha kazi.
Vilevile inachukua picha na kurekodi kila kitu unapokuwa unafanya kazi ya client.
Vilevile inachukua picha na kurekodi kila kitu unapokuwa unafanya kazi ya client.
6. Upwork inatoza (fee) ada ya huduma inayobadilika kulingana na kipato cha #freelancer, ikitofautiana kutoka 5% hadi 20% kulingana na malipo unayolipwa katika kipindi cha kufanya kazi na mteja fulani.
Upwork ni jukwaa maarufu kwa freelancers na clients wenye kazi, na idadi ya watumiaji inaendelea kuongezeka kila siku
Credit to @mafolebaraka
@johansen_b/ukweli-usiofahamika-kuhusu-upwork-a9d6e36887e" target="_blank" rel="noopener" onclick="event.stopPropagation()">medium.com
Credit to @mafolebaraka
@johansen_b/ukweli-usiofahamika-kuhusu-upwork-a9d6e36887e" target="_blank" rel="noopener" onclick="event.stopPropagation()">medium.com
جاري تحميل الاقتراحات...