7 تغريدة 2 قراءة Nov 14, 2023
Maokoto ya Fiverr Kwa Freelancers wanaotumia #Fiverr
Jinsi ya kufanya gig yako ionekane kwa clients
Tujikumbushe gig yako ya Fiver ni kama duka au biashara yako ambayo inategemea wateja
Ili wanunue huduma yako
Nitakuelekeza njia za kufanya
Ili gig yako ipate order
Njia ya kwanza
Unapotengeneza gig yako
Tumia #Keywords ambazo zinatafutwa sana kwenye search engine, kulingana na niche yako
Mfano kama ni web designer umechagua niche ya afya
Tumia Keywords zinazoendana na hizo niche
Note: Angalia gigs zinazouza sana wametumia #keyword zipi.
Njia ya pili
Tafuta clients mwenyewe unawatumia link ya gig yako.
Mfano wewe ni video editor
Unaweza ukawa unawafuata influencers au watu wa media
Unawapatia portfolio yako
Wakikubali kazi zako
Unawapatia link ya gigs zako
Anakupatia contract then gig yako inaonekana
Njia ya tatu
Tumia matangazo ya kulipia
Hapa ukiwa unajiamini na ujuzi wako.
Unalipia tangazo fb au Google
Una target wateja unaowataka.
Wakihitaji huduma yako wanakufata kwenye gig yako unapata kazi
Hii sio rafiki sana kwa watanzania ila wenzetu wanatumia sana hii
Njia ya nne
Ni kupitia kuandika content zinazohusihana na huduma yako.
Mfano ukiandika content ukaongelea umuhimu wa kampuni kuwa na website.
Kwenye hiyo content unaongezea
Link ya kwenye gig yako ya #Fiverr
Watu wenye kampuni watakutafuta uwatngenezee website zao
Njia ya tano
Kupitia linkedin
Huku unaweza kutumia njia nyingi sana ikiwemo kuandika content kuhusu huduma yako
Kuwafuata watu DM linkedin unawatumia proposal
Linkedin ni nzuri kwasababu ni rahisi sana kumfikia client sahihi
Hata kama ni kazi za hapa bongo
Ukikwama nicheki
Njia ya mwisho
Hii inatumika na watu wote
Unatengeneza gig af unaiacha algorithm zikikutembelea zitakusaidia kuitangaza
Hapa lazima ufanye niche down ya kutosha
Kama unahitaji kujifunza zaidi
Kuhusu freelancing
Njoo hapa huwa natoa tips 24/7
wa.me

جاري تحميل الاقتراحات...