(---) Onesmo Mushi
EDUCATION | Social Justice | #SDGs 4 & 8 | Decolonizing | The People
عرض في 𝕏سلاسل التغريدات
Natumia ChatGPT Kutafsiri Mkataba Wote wa Bandari kwa Kiswahili kwa Maslahi ya Umma. Twende pamoja! #UkurasaWa1 “MKATABA KATI YA SERIKALI ZA NCHI JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA...
Gharama ya Law School of Tanzania kwa Ujumla ni sh. 8,000,000. 8,000,000 * 821 = 6,568,000,000 Kwenye darasa la wanafunzi 821, unafaulisha wanafunzi 23 tu, halafu tunaona hii ni...
Elimu: Rousseau ametusema sana wazazi kwenye hiki kitabu. Amesema miaka 7 ya mwanzo ndio inajenga msingi wa elimu lakini imejawa na neglect. Amewasema wanawake kwa kupuuzia kunyon...
Mwaka 2017, nikiwa nimeadhibiwa vizuri na maisha, nilisikia ile Warsha ya “Fursa, Anzia Sokoni” inakuja Morogoro. Nilikuwa nimeshajikatia tamaa kabisa ila kuna kitu moyoni kikaniam...