Huwa nafurahi sana nikiona mtu mzima anajitajidi kwa nguvu zote kuspin hoja. Kwamba hamuelewi maana ya mwalimu kufaulisha au mmeamua kuja na tafsiri sisisi kwa interests zenu?π
Anayeweza kunisaidia ile report ya Mwakyembe nitamshukuru sana.ππΏ
Loading suggestions...