Ndahani N. Mwenda
Ndahani N. Mwenda

@ndahani_mwenda

2 Tweets 8 reads Mar 23, 2023
Siyo tu kwenye Kikapu, Kobe Bryant alikuwa na jicho la kuona fursa!
~ 2014 alinunua 10% ya hisa za kinywaji cha BodyArmor kwa $ 6m!
~ 2018 Coke wakaja kununua hisa kidogo za BodyArmor thamani ikaongezeka.
~ Agosti 2018 hisa za Kobe zikawa na thamani ya $ 200m. #AskMwenda
Coca-Cola baada ya kuona BodyArmor inafanya vizuri, wakabeba mazima!
~ Nov 2021 Coke ilinunua 70% ya hisa zote za BodyArmor mpaka zile za Kobe.
~ Coke ilitumia $ 5.6bn kununua hisa zote. Kobe akalamba $ 400m
~ Kwa kuwa Kobe alikuwa ameshafariki, mkewe alipokea malipo hayo!
Licha ya familia yake kumkosa kwasasa lakini hakuiacha ikiwa masikini.
~ Kwenye Kikapu alitumia miaka 20 kukusanya $ 680m kwa mujibu wa Forbes.
~ Lakini kwa miaka 8 ya uwekezaji alitengeneza faida ya $ 394m.
~ Je, bado unataka kujua nguvu ya kuwekeza hasa kwenye hisa?

Loading suggestions...