#FTM ilikua founded 2018 na Computer scientist Anh Byung Ik ambae badae aka-dump project with unknown reasons
Kati ya Co-Founder waliobaki kwa project @michaelfkong akawa kama C.E.O
#FTM ilianza kua famous sababu ya Andre Cronje ambae pia ni Co-Founder wa #yearnfinance ambae amebobea kwenye DeFi architect.

2019 Andre Cronje akawa kama co-adviser wa Fantom project kabla ya kua kama Co- FTM developer. Andre ndio alikua na ramani zote kufanya FTM inakua na running nodes pasipo kua na slashing kwa economy.
.
Namba ya Developers iliendelea kua kubwa hadi kufika ATH Max DApps

#FTM inahost 50+ DeFi protocols ambazo hadi sasahivi imestake total ya $5.6B.
Pia wapo na Web wallet ambayo inatoa services zote kuhusu DeFi.
FTM token ndio inatumika kama collateral ikiwa unataka kufanya staking, Lending au Borrowing.

#FTM likija swala la kubadilisha chochote maamzi yanafanyika kwa Governance yao kupitia FTM wallet na kila mtu unaweza vote.
.
September 2021 nilinunua FTM coins na ku-stake kwa miezi sita.
Kuna highlights ambazo zilinifanya niweke hii coin kwa portfolio yangu.

6/03/2022 Andre Cronje ame-dump project ambae pia ni co-founder na developer wa #FTM
.
Hii ilikua ni scenario ambayo mimi pia imeni-affect maana nimefanya staking ya coins zangu zote.

Hizi highlights naweza sema Andre ndie alikua public figure kufanya ftm kufika ilipo sasahivi. .
.
Predictions zangu naona #FTM growth yake itashuka ndani ya 6 months hadi team yake itakapo kaa vizuri.
.
Sita-Sell FTM coins zangu >>> I’ll still hold until nikiona team sio rafiki

*Ita-Crash?
Loading suggestions...