Incase umemaliza chuo hivi karibuni thread hii itakufungua namna ya kupata internship ama kazi za remote.
NB: Bookmark, save na mtumie mhitimu yeyote unayemfahamu asome kwa muda wake.
#Kazizaremote

Kabla sijaenda moja kwa moja kwenye point ngoja nikueleze kwa nini ni muhimu kuomba internship ama kazi za remote
- Kazi za remote wanalipa vizuri kuliko za bongo.
-Kupata internship wanayolipa remote ni rahisi kuliko kuipata bongo
-exposure

Binafsi kazi yangu ya kwanza full time remote nilipata nikiwa mwaka wa kwanza na hizi ni baadhi ya njia zilizonisaidia kwenye utafutaji wangu
1. Resume/CV
Hakikisha resume na Cv yako iko mfukoni muda wote, kampuni nyingi za remote zinakubali format ya Resume na Cv unayoweza kutengeneza bure kupitia Europass.
CV na resume yako onyesha watu wawili watatu kwanza wakupe maoni kabla hujatuma kwa mwajili wako

2. Linkedin
Kupata kazi ya remote kuwa na akaunti ya Linkedin sio optional ni jambo la lazima.
Mara nyingi kabla hujaitwa kwenye interview mwajili wako lazima apitie Linkedin kukusanya taarifa zako.
Utatumia Linkedin kuomba kazi mbalimbali za remote na internship.

Hili suala la Linkedin tuandae space?
3. Stadi
Hizi kazi hadi uzipate ni lazima uwe unajua kitu unafanya ama unataka kukifanya. Mambo ya kuomba kufanya kazi yeyote huwa hayawork huku.
Anzia na kitu ulichosoma chuo ama ulichosoma mtandaoni.

4. Tools
Kazi nyingi za remote zitakuforce ujue kutumia tools mbalimbali.
Jifunze kutumia Trello, Asana, Notion, monday na Google workspace kabla giza halijaingia.

5. interviews
Jiandae na interviews, kuna muda utafanya hadi interview sita hivyo kujiandaa ni muhimu sana

Loading suggestions...