JABIR SALEH (Zee la kujibrand)/Zee la kutrendi
JABIR SALEH (Zee la kujibrand)/Zee la kutrendi

@JabirSaleh

2 Tweets 1 reads Jul 20, 2024
Hakuna shaka kwamba @mtangamtangalile ni legend mwingine kwenye sanaa ya maigizo na uchekeshaji,kwa karibu miaka 30 amekua kwenye game katika ubora wa hali ya juu sana ,na ni kama pacha wa @bambocomedian kwenye game(swipe left) ,zamani alikua anaigiza kama jambazi hatari sanaπŸ‘‡πŸΎ
nini kilmvuta kwenye comedy?leo atakua mgeni wetu kwenye #Theclassicefm kuanzia saa 8 kamili @efmtanzania ,usikose kabisa hii.
#kuvifacts #Theclassicefmnamtanga

Loading suggestions...