Nini kilitokea weekend ya Juzi kupelekea Internet kukatika Tanzania nzima?
Mbona watu wanamlaumu waziri Nape?
Je ni bora tungekuwa na Starlink?.
Hilo tatizo litaisha lini?
Tufanyaje kwa wakati huu?
#UZI🧵🪡
Sambaza kwa wana wapate majibu💪
Mbona watu wanamlaumu waziri Nape?
Je ni bora tungekuwa na Starlink?.
Hilo tatizo litaisha lini?
Tufanyaje kwa wakati huu?
#UZI🧵🪡
Sambaza kwa wana wapate majibu💪
Nimesomea Degree ya Computer systems and NETWORKS chuo kikuu.
Nina vyeti vya kimataifa kuhusiana na masuala ya kimitandao vya CISCO na Juniper
Nimefanya Internship Simbanet
Kampuni namba moja nchini kusambaza internet kwa mabiashara ama B2B
NISIKILIZE MIMI!👇
Nina vyeti vya kimataifa kuhusiana na masuala ya kimitandao vya CISCO na Juniper
Nimefanya Internship Simbanet
Kampuni namba moja nchini kusambaza internet kwa mabiashara ama B2B
NISIKILIZE MIMI!👇
Sasa Lobajeti..
Yanakonektije Dunia nzima..?
Yanakonektije Dunia nzima..?
NB:
Ni BEI SANA kumiliki satelite.
Ni BEI SANAA kutembeza hizo cable baharini na kuzimaintain..
Nikisema bei jamani ninamaanisha BEI
Ni kama kuweka lami nchi nzima hadi vichochoroni
Ni BEI SANA kumiliki satelite.
Ni BEI SANAA kutembeza hizo cable baharini na kuzimaintain..
Nikisema bei jamani ninamaanisha BEI
Ni kama kuweka lami nchi nzima hadi vichochoroni
Sasa hizo ndo zinakuja Bongo…
Zinaomba leseni na vibali..
Maana internet suala nyeti sana.
Kisha makampuni mengine yanaipokea halafu yanajenga barabara zake na namna ya kufikia wateja wake
Ndio Vodacom, Simbanet, habarinode, Airtel, Tigo.
Hao wanapokea hapo

Wananunua kwa hawa
halafu wanawasambazia nyie..
halafu wanawasambazia nyie..
SASA NINI KILITOKEA HII WEEKEND?
Ripoti zinadai
Fibre mama za baadhi ya kampuni kubwa zinazolisha internet Tz zilikatika..
So Voda Halotel Tigo Airtel zikapiga chini
Ripoti zinadai
Fibre mama za baadhi ya kampuni kubwa zinazolisha internet Tz zilikatika..
So Voda Halotel Tigo Airtel zikapiga chini
Sasa tuchukulie MFANO Voda..
Voda wana link ya Seacom,
Eassy
Seas
Zikiwa zinafanya zote kazi,
➡️
Voda wana link ya Seacom,
Eassy
Seas
Zikiwa zinafanya zote kazi,
➡️
Ili msijae kwenye link moja alafu mtandao uwe slow,
Mnawekwa kwenye link ya seacom
Wengine wanaekwa huku and so on..
Mnawekwa kwenye link ya seacom
Wengine wanaekwa huku and so on..
So wote mnapata internet mwanana..
Mzigo ukilala yooo
Wadau wanabidi waangalie namna ya kugawa kidogo kilichopo kwa mahospitali, mabenki, na sehemu nyeti
Hivo
Mzigo ukilala yooo
Wadau wanabidi waangalie namna ya kugawa kidogo kilichopo kwa mahospitali, mabenki, na sehemu nyeti
Hivo
Sasa seacom si imepiga chini..?
Na seas..?
Imebaki EASSY..
Huu ni mfano..
➡️➡️
Na seas..?
Imebaki EASSY..
Huu ni mfano..
➡️➡️
Kwahio internet si inabidi iwepo kama kawa Lowbudget..?
Hapana..
Sidechick sasa ana majukumu ya mainchick😂..
Inabidi wote kina Halotel, voda,
Hapana..
Sidechick sasa ana majukumu ya mainchick😂..
Inabidi wote kina Halotel, voda,
Wote watarely huko..
Kwahio network inakuwa congested..
Yani inajaa..
Mtandao unakuwa mzito
Kwahio network inakuwa congested..
Yani inajaa..
Mtandao unakuwa mzito
Sasa EASSY anawagaia voda na wenzake nafasi 20 each tu
Ili kila mtu apate experience nzuri..
(Haya ndo maswala nikodeep kishennnnziiii)
Tutiririke👇
Ili kila mtu apate experience nzuri..
(Haya ndo maswala nikodeep kishennnnziiii)
Tutiririke👇
Voda kweye hizo 20,
Anabalance na yeye watu wake wawe na Experience nzuri..
Asichukiwe na wateja wote..
So atagawa na yeye hivohivo..
Kuna mwana aliniambia wanatumia kitu kinaitwa Round-Robin distribution algorithm😂😂💔 (si mnamjua robinhood?😂)
Kwahio sasa👇

Wewe unaenunua bando la buku mbili
Voda atakupiga chini😂😂💔
Atahakikisha sisi wa Subscription na sio wote,
Sisi wa corporate..➡️
NB: Huu ni mfano tu, voda wanatreat kila mtu sawa😌
Voda atakupiga chini😂😂💔
Atahakikisha sisi wa Subscription na sio wote,
Sisi wa corporate..➡️
NB: Huu ni mfano tu, voda wanatreat kila mtu sawa😌
Tunaweza kuopen emails..
Kuupload kiasi flani..
Atatupa bandwidth yetu..
Atatenga ya banks..
Ya mpesa.. hivo
Yani ndio kuna shida, ila kuna sehemu lazima ziendelee..
Ni kama umeme ukatike makao makuu Tanesco😂💔
Kuupload kiasi flani..
Atatupa bandwidth yetu..
Atatenga ya banks..
Ya mpesa.. hivo
Yani ndio kuna shida, ila kuna sehemu lazima ziendelee..
Ni kama umeme ukatike makao makuu Tanesco😂💔
That explains why mwanzoni mtandao utazima..
Later unarudi fresh kwa mda mfupi sana( hapa ndo wanaset sasa nani iweje)
Then unakuwa mzito..
Au unakosa kabisa kisha unaupata mida flani flani
Later unarudi fresh kwa mda mfupi sana( hapa ndo wanaset sasa nani iweje)
Then unakuwa mzito..
Au unakosa kabisa kisha unaupata mida flani flani
So this explains pia why mtandao ukianza kuwa na mabando cheap,
Watu wakanunua line wakahamia huko
I mean watu wengiiiiii
Badae unakuja kuwa mzito..
Watu wakanunua line wakahamia huko
I mean watu wengiiiiii
Badae unakuja kuwa mzito..
Sasa kama kampuni ndo inaanza,
Hii inakuwa ni stress kweli..
Maana solution ni kupandisha bei
Kupata few who pay well na experience ya kila mtu ni nzuri
Hii inakuwa ni stress kweli..
Maana solution ni kupandisha bei
Kupata few who pay well na experience ya kila mtu ni nzuri
Ndo maana ukiniuliza mimi,
mtandao mzuri ni ule ambao mabando ni bei
Wengi hawawezi afford..
mtandao mzuri ni ule ambao mabando ni bei
Wengi hawawezi afford..
Ni kama ambavyo
mwalimu mzuri wa kukufundisha wewe
Forex Trading ni yule ambae wengi
hawawezi muafford
mwalimu mzuri wa kukufundisha wewe
Forex Trading ni yule ambae wengi
hawawezi muafford
Mind you ni fibre cut kama fibre cut zingine hizhizi za huku sjui Zuku
Zinafixiwa hvohvo..
Ila hizi za underwater zinakuwa zinatake time
Zinafixiwa hvohvo..
Ila hizi za underwater zinakuwa zinatake time
Kuna kifaa kinaitwa
Optical time domain reflectometer..
(Mazee shule me nlisoma sikuenda kucheza makida😂)
Hiko kifaa➡️
Optical time domain reflectometer..
(Mazee shule me nlisoma sikuenda kucheza makida😂)
Hiko kifaa➡️
Inarudisha reflection ..
Sasa speed ya light inajulikana
Kwahio wanapiga hesabu wanajua na frequency waliotumia
so distance wanaipata..
Sasa speed ya light inajulikana
Kwahio wanapiga hesabu wanajua na frequency waliotumia
so distance wanaipata..
Kuna formula tuseme
speed= distance/time
Sasa ukiwa na vyote except distance,
Rahisi kuipata..
speed= distance/time
Sasa ukiwa na vyote except distance,
Rahisi kuipata..
OTDR hiko kifaa kinapima muda wa hio mionzi kwenda na kurudi
Na uzito wa ile mionzi unavorudi
(Oya nimetumia lugha rahisi kinoma😂)
Na uzito wa ile mionzi unavorudi
(Oya nimetumia lugha rahisi kinoma😂)
Kwahio wakishajua umbali,
Wanaenda na maspeed boat au meli zozote
Kikubwa wafike
na vifaa vya kufix..
Wanatumwa divers🚀
Wanaenda na maspeed boat au meli zozote
Kikubwa wafike
na vifaa vya kufix..
Wanatumwa divers🚀
Sasa ukifanya kazi corporate kuna kitu kinaitwa ETA
Lazima uwape watu muda wa kuexpect issue ziwe fixed..
Huendiendi kienyeji😂..
Utafungwa..
Lazima uwape watu muda wa kuexpect issue ziwe fixed..
Huendiendi kienyeji😂..
Utafungwa..
Ila exceptions ndo kazi kama hizi
Lazima engineer aende apime ndo ajue
Alafu atoe ETA..
So yeaa
Lazima engineer aende apime ndo ajue
Alafu atoe ETA..
So yeaa
Spoiled viewers mkienda maofisini ama majumbani
Mnaweza kuongea kama wataalamu kabisa😂..
Mkaonekana watu wa maana kabisa😂
NB: spoiled viewers ni wale wanaoangalia my whatsapp status
Nicheki DM nikutumie.
Nashare mengi sana huko..
Huko mara moja moja kama hivi

Mkiulizwa maswali magumu mnanicheki tu..
#hakunaspoiledviewermshamba😂😂
Niko hapa kuhakikisha mnaheshimika mitaani huko😁
#hakunaspoiledviewermshamba😂😂
Niko hapa kuhakikisha mnaheshimika mitaani huko😁
Nimejitahidi kuandika kwa umakini kukwepa LAWSUITS
ILA WHATSAPP STATUS NAFUNGUJA SANA
Kama umefika hadi hapa na bado unaswali embu niambie nikujibu💪💪
MWISHO🪡🧵
ILA WHATSAPP STATUS NAFUNGUJA SANA
Kama umefika hadi hapa na bado unaswali embu niambie nikujibu💪💪
MWISHO🪡🧵
Loading suggestions...