Prisca Kishamba
Prisca Kishamba

@PKishamba

2 Tweets 2 reads Feb 29, 2024
Huyo ni Twalib Muwa mchambuzi wa soka akitoa maoni kuhusu kauli ya Rais wa klabu ya Yanga Mhandisi Hersi Saidi aliyosema Al Ahly na Mamelod Sundowns zitafika fainali ya ligi ya mabingwa.
Injinia Hersi amesema hayo wakati akihojiwa na tv ya Al Ahly ambapo amesema anaziona timu za Al Ahly na Mamelod Sundowns zikitinga fainali ya ligi ya mabingwa Afrika msimu huu.
Tazama video kupitia Kishamba media #Youtube gusa link kwenye bio yetu hapo juu ujionee mambo mazuri.

Loading suggestions...