Digital Nomad ( YT @mafolebaraka)
Digital Nomad ( YT @mafolebaraka)

@mafolebaraka

10 Tweets 1 reads Feb 29, 2024
Njia nyepesi ya kuingiza usd 1000+ {Tsh 2M+} kwenye freelancing platforms
Part 2 - Digital Marketing
Disclamer : Thread hii ni ndefu sana hakikisha una chakula ama kinywaji pembeni ukiwa unasoma.
Kila muda ninapoona uvivu kuandika muendelezo wa thread hizi, kuna msukumo unanijia nahisi sijitendei haki na siwatendei haki watu wengine.
Najiuliza wengine wasingeandika ningefika hapa nilipo leo? wangeamua kukaa kimya ningekuwa hapa leo?
Najua miezi sita kutoka sasa kuna mtu kupitia thread hizi atakuwa amebadilisha maisha yake kabisa.
Tafadhali ibookmark, retweet na mtag mtu unayehisi inaweza kumsaidia.
Mdomo umekuwa mwingi ngoja niende directly kwenye point..
Digital marketing ni stadi yenye soko sana especially kipindi hiki ambacho biashara nyingi sana zimeamua kwenda kidijitali.
Kibongobongo kuna wateja wengi sana wanaotafuta digital marketers also digital marketers bado ni wachache sana.
Talents nyingi sana za bongo bado hazina uelewa wa kutosha na digital marketing. Wengi wao wanahisi ukiweza kutengeneza grids za IG, ukiweza kukuza akaunti ama ukiweza kusponsor ads basi inatosha kujiita digital marketer.
Kwa uelewa wangu .....
Digital marketing inaenda beyond hivyo vitu na wengi waliopo kwenye indurstry wanakwepa kujiita digital marketer.
Kabla hujaendelea kusoma thread hii embu futa hiyo digital marketer kwenye bio yako ndio tuendelee.
Kwenye digital marketing kuna roles mbalimbali. Roles hizo ndo mara nyingi utaona zinawekwa kwenye ads za kazi. Mfano wa roles huko ni
-Content marketer
-Growth marketer
-Media buyer
-Community manager
-Content lead
-Copywriter
-Product marketer nk
Hizo roles zote hapo juu zina vitu vyake ndani ambavyo ni muhimu sana kuvijua. Also roles nyingi tulizozizoea kama social media managers zimevamiwa sana sikuhizi.
Kozi nyingi za uhakika za hayo masuala zinaanzia USD 3OO huko, achana na hizi za free ...
na hizi za chini ya USD 30{Though zipo baadhi nzuri za hela hizo ila inabidi ufanye research ya kutosha}.
Mishahara mingi kwenye hizi kazi kwenye sites za kampuni nyinyi huanzia usd 10000 kwa mwaka depending na level uko nayo.
Leo ni hiko kidogo tu nilitaka kushare na nyie, unaweza uliza maswali chini ya hii thread ama ukapitia thread zangu za nyuma hapa chini
x.com

Loading suggestions...