Digital Nomad ( YT @mafolebaraka)
Digital Nomad ( YT @mafolebaraka)

@mafolebaraka

9 Tweets 1 reads Feb 07, 2024
Machache niliyojifunza kwenye kazi za remote na kufanya freelancing.
Thread
1. Kwenye utendaji kazi kama kitu hujakielewa, uliza tafadhali especially kama unafanya na timu.
2. Time management and communication skills ni lazima kama unataka ufanye kazi remote kwa amani.
3. Kupata kazi kunachukua muda na hata process yake huwa ndefu wakati mwingine, unaweza fanya hata interviews tano ndio upate kazi.
AD: Kuna template hapa kama unataka kutengeneza social media content strategy shorturl.at
4. Kuwa na skill kwanza kabla hujaenda kuomba kazi kokote.
5.Kama uko kwenye marketing indurstry hakikisha una msingi kwenye research na planning.
6. Penda kujiupskill mara kwa mara.
7. Update resume na Cv yako mara kwa mara

Loading suggestions...