Mwaka jana nilipokea ofa mbili kuwa za kazi {Full remotely} na gigs kadhaa za local na kimataifa.
Thread hii inaeleza namna gani unaweza attract global brands kufanya kazi na wewe
Retweet na mtag unaetaka ajifunze

Brand nimefanya nazo kazi last year ni pamoja na Arora online ya SA, NDI, Unesco, Alibaba foundation, Goodthings nk
but lengo la thread hii ni kukuonesha namna gani unaweza tengeneza mazingira ya kupata gigs na kuattract brands

1. Upskill ! Upskill! Upskill!
Jijenge kistadi, tafuta stadi kadhaa ambazo unaweza zitumia kujiingizia kipato ama kuiuza kama huduma.
Tools kama Notion, Trello na Canva ni moja ya tools zinazotumika zaidi bila kusahau stadi zenye demand kama Programming, SMM nk

2. Attend event za Tech( Your network ndio networth)
Aug huwa kuna event nyingisana za tech zinatokea bongo.
Sahara Spark ndio event yenye clients wengi ninayoifahamu. Kuna startup nyingi sana za local na global zinatafuta talents kwenye hizi events.
Attend event mwaisa

3. Personal branding muhimu wakuu
Nilikuwa naichukulia poa sana account yangu ya IG till iliponipatia client.
Chapa binafsi unaweza itumia kama portfolio ama unaweza itumia kupromote kazi zako binafsi.
Kuna wateja wengi sana mtandaoni

4. Deals zipo kwenye communities
Communities zipo nyingi sana sikuizi na kazi nyingi zinapostiwa huko.
E.A community zangu bora ni ya Grey na ile ya Space ya Tech.
Pita pita huko kuna client anakusubiri.

AD:Mengine unaweza jifunza kwenye YT channel yangu ambayo nimekuwa nikishare masuala mbalimbali ya kidijitali.
Subscribe hapa youtube.com
Subscribe hapa youtube.com
5. Jua Trends
Kuwa Updated na trends zinazoendelea kwenye indurstry yako.
Kufahamu Trends kutakusaidia kuwa mbele ya muda na kuchangamkia fursa zilizopo kwenye indurstry yako mapema

Thread itaendelea ila kwa sasa niambie ungependa niandike kuhusu nini tena?
Loading suggestions...