MAMBO 10 UNAYOPASWA KUYAEPUKA KWENYE MAISHA YAKO KWA GHARAMA YOYOTE.
#UZI ๐งต
1โฃ Usiamini mtu yeyote kupitiliza.
Tambua kadri unavyomuamini mtu kupitiliza ndio unajiweka kwenye hatari ya kuumizwa kupitiliza.
2โฃ Usimwambie mtu yoyote siri zako na udhaifu wako. Huwezi kujua ni nani atakayezitumia vibaya dhidi yako. Kuwa mwangalifu.
3โฃ Usiwatenge wazazi na familia yako kwa ajili ya marafiki zako. Ni familia pekee itakayobaki na wewe kipindi cha magumu. Marafiki watajaribu kadri ya uwezo wao na kisha watatoweka.
Waheshimu familia yako.
4โฃ Epuka kutojiamini mwenyewe. Jiepushe na hofu kabisa. Unahisi huwezi kufanya? Hiyo ni sawa kabisa. Jaribu mara moja. Tena na tena. Lakini kamwe usiamini kuwa huwezi kufanya hivyo.
5โฃ Punguza Matarajio. Matarajio yanaweza kuumiza su kuuvunja moyo wako na kukukatisha tamaa kabisa. Linda moyo wako.
6โฃ Usimuumize mtu yeyote. Huwezi kujua anapitia nini. Na utamsababishia nini.
7โฃ Usimhukumu mtu yeyote. Hujui maisha yake. Na pia, hukumu yako haiwezi kuwa sababu ya wao kubadilika.
8โฃ Usiruhusu mtu yeyote akufanye uhisi vibaya. Jikubali mwenyewe. Jipende. Pambana kuwa bora kila siku. Ishi maisha yako mwenyewe.
9โฃ Usiruhusu mtu/kitu chochote kikuvurugie amani yako. Hakuna kitu muhimu zaidi kuliko amani yako.
๐ Usichokoze wala kumfanyia mzaha na mtu yeyote. Heshimu kila mtu. Acha watu waishi maisha yao na usiwasumbue wala kuwavuruga kiakili.
Kama umekupendeza tafadhali like, Comment na Repost ufikie na wengine. Asante kwa kusoma ๐ โค๏ธ ๐
Usisahau kunifollow kwa mengi mazuri.
Tembelea Pinned Tweet yangu na highlight kwa mengi zaidi

Loading suggestions...