Joel Ole Meitaya
Joel Ole Meitaya

@JoelyMeitaya

2 Tweets 10 reads Aug 19, 2023
Wanajeshi,Polisi na wote wanaotumiwa na serikali kutunyanyasa, kutupiga risasi na kutuwinda porini angali nyie Ni ndugu zetu,Watanzania wenzetu,haka kamtu kanawafanya mpoteze utu kwetu ? Kanawafanya mtuangamize kwa maslahi yake tu?Damu yetu inamwagika kisa hoteli yake kujengwa
Kuja kwake Loliondo hata siku moja kunasababisha Hatari kwa maelfu ya watu? Kuna wakati utu uzidi vyote! Imefika wakati tuseme Kama ni mateso tumeteseka na Kama Ni dhuluma timedhulumiwa vya kutosha ! Jamii hatuwezi kuangamia kwasababu ya kajitu limoja ! #utu

Loading suggestions...