EastAfricaRadio
EastAfricaRadio

@earadiofm

2 Tweets 1 reads Aug 08, 2023
#KIPENGA "Sijaona bado mapungufu ya Onyango yametatuliwa na Che Malone, mapungufu ya Onyango kwa eneo kubwa ndio ambayo anayo huyu bwana, pungufu la Onyango kubwa ni spidi, kukaba kwenye spidi, hiyo moja lakini pili ni flexibility ya mwili kugeukageuka, hayo mawili yanafuatana,"
"Lakini ku-cover eneo kubwa kama beki kule nyuma Onyango alikuwa bora sana" @abissay_stephen
#Kipenga #EastAfricaRadio

Loading suggestions...