7 Tweets 6 reads Jun 28, 2023
Mwandishi wa kwanza kusafiri kwa Submarine ya Urusi hadi eneo la mabaki la Titanic katika Bahari ya Atlantiki, aliwahi kusema...
"Ilikuwa ni shahuku yangu kwenda huko ila wakati nafika kule chini roho ya hisia ikaanza kunijia. Ni kijivu ni kiza kinene na hakuna mwanga.๐Ÿ‘‡
Tulipofikia eneo la mabaki ya meli ya TITANIC tulishangazwa kuona mifupa na viatu vya wafu, meli ililala, kuko kimya, mara nikaanza๐Ÿ‘‡
kuchukua picha nilifanya ivyo, tulimwambia muongoza chombo asogeze upande mwingine ili tuendelee kupata picha ndipo panga la TITANIC likakinasa chombo chetu.
Tukabamizwa kwenye kuta za meli ya TITANIC, nikamgeukia rubani, rubani alisema๐Ÿ‘‡
Kwa lafudhi ya chini ya Kirusi, "Hakuna shida", niliona hofu machoni mwake na kutetemeka mikono yake.
Hata ivyo furaha ikalejea tulifanikisha kujinasua katika panga lile la TITATIC na kuchukua picha kadhaa kisha tukarudi"๐Ÿ‘‡
Perhaps there are spiritual forces, when people arrive in that area they should be humble and polite.
Nilijiwazia maneno hayo baada ya kumsikia mwandishi huyu aliyefahamika kwa jina la Michael Guillen
Guillen Aliendelea kusema
"kule si sehemu ya kufurahisha ni makaburi๐Ÿ‘‡
ni eneo la makaburi, watu walipoteza maisha yao kule, ule ni uwanya wa siri.
Unapotaka kwenda huko unapaswa kutambua bahari haina msamaha, ivyo elewa ni hatari na ukiwa huko unapaswa kuheshimu wafu waliolala mahali hapo.
Michael Guillen anasema๐Ÿ‘‡
Hakubaliani na dhana ya kuwa kwenda kutazama mabaki ya TITANIC ni utalii na sehemu hiyo iwe kivutio cha watalii, kwake si sawa.
akimaanisha kwenda huko si salama kwa maisha ya watu..
Stay safe kwa ground mambo ni mengi sana๐Ÿ™
Usiache kunifollow as @wisdomjaykwa #wisdomjaykwa

Loading suggestions...