Ilikua ni Arusha.
Asubuhi moja hivi tulivu ya siku ya Jumamosi alikuja Rafiki yangu aitwae David Sehemu ninayoishi (Ghetto) kunisalimu.
Na hiyo ilikua ni kama desturi ya rafiki zangu kila siku za weekend hua wanakuja Tunashinda wote Ghetto na kucheza Games mbalimbali ikiwemo PS..

Lakini kwa siku hiyo ilikua tofauti kidogo maana David alipofika hakuhitaji kukaa zaid yakunisalimu na kuniomba simu yangu akidai kuna mtu anahitaji kumtafuta na yeye hakua na salio.
Kwakua ni Mwana ninae muamini sikusita kumpa simu yangu na hata password yangu alikua akiifahamu

Nilipomkabidhi ile simu yangu akatoka njee huku akiniambia nimpe Dakika 10 anarudi.
Sikua na shaka nae kwakua david sio mtu mwenye Tamaa nilimjibu tu "Haina noma kaka".
Lakini dakika 10 ziliisha na David hakua amerudi ndani.
Sikua na shaka na hilo pia kwakua nilikua nikimuamin..

Dakika ziliyoyoma mpaka ikafika nusu saa toka David atoke njee na simu yangu nakuomba Dakika 10.
Nilipata mashaka huenda kapatwa na tatizo huko njee ikabidi niamke kwenye kochi kuelekea mlango wakutokea nje ulipo ili nimtazame David.
Lakini nilipoukaribia Mlango Ulifunguliwa..

Nilisimama nikihisi huenda ni David lakini hakua yeye..Waliingia vijana wawili ninao wafahamu mmoja alikua akiitwa Frank na mwengine alikua akiitwa Joli ambao ni rafiki wa karibu wa David.
"Karibuni" niliwakaribisha
"Shukran kaka" Joli alijibu
"Kaka David hajatimba huku?" Frank..
"Karibuni" niliwakaribisha
"Shukran kaka" Joli alijibu
"Kaka David hajatimba huku?" Frank..
Aliuliza.
"David alikuwepo hapa Dk 30 zilizopita lakini alitoka njee na simu yangu na hajarudi mpaka sasa" niliwajibu huku nikitazama saa yangu ya mkononi.
"Huyu jamaa huyu" Joli alisema huku akisikitika na kunipa mashaka
"Kuna tatizo wakuu" niliwauliza huku nikiwa na mashaka

"Hapana kaka! ila kuna mzigo wake hapa acha tukuachie akija utamkabidhi maana hapatikani kwenye simu" Joli alisema huku akifungua zipu ya begi alilokua amebeba Frank na kutoa Bahasha ya Kaki ilovimba kanakwamba imewekwa nguo ndani.
"Mpigieni kwenye namba Yangu kwakua simu yangu..

Anayo yeye" niliwaambia.
"Sawa! andika namba yako" Joli aliitika huku akinikabidhi simu yake niandike namba yangu.
Niliipokea ile simu nakuandika namba yangu kisha nikazipiga lakini cha Ajabu nikawa naambiwa haipatikani na wakati David alichukua simu yangu ikiwa na chaji 100%

"Mh! Mbona haipatikani kudadeki" nilisema huku nikijaribu kupiga tena na tena kwa kuhisi labda ni mtandao..lakini bado haikupatikana.
"Broh! Skiliza kama hapatikani acha sisi tuondoke maana tuna haraka ila akija utamkabidhi huu mzigo wake" Joli Alisema na kuweka ile pasel mezani

"Haina noma wakuu" niliwajibu huku nikielekea kwenye stendi ya viatu ili nichukue sendo na nianze msako wakumtafuta David nikiwa na mashaka labda jambo baya limemkuta.
Nilipotoka mlangoni niliwaona Frank na Joli wakiitokomea kwa mbaali huku wakipeana Tano ๐ na kucheka.

Nilishindwa kuelewa kwanini hawakuonyesha kua na mashaka kwa kutopatikana kwa David na wakati David ni rafiki yao wakaribu sana maana alikua akiongozana nao mara kwa mara wanapokuja Ghetto kwangu au kunapotekea shughuli sehemu yeyote.
Ila sikujali hilo kwakua nilijua Binadamu..

Tunatofautiana.
Nilifunga Mlango wa Ghetto na kuelekea kwa Rafiki yangu aitwae Hamza ambae hua tunasaidiana mambo mbali mbali.
Nilichukua boda mpaka anapoishi Hamza...nilipofika nilimlipa Boda akaondoka zake nami nikaelekea ulipo mlango na kuanza kugonga Hodi...

Haikuchukua muda Mlango ulifunguliwa na Hamza.
"Nyie jamaa leo mmeamua kunisumbua Tu asubuhi asubuhi haya ingiza ngwara ndani" Hamza alisema huku akifungua mlango
"Acha bana milawama yako we unajua nina shida gani kaka?" Nilisema huku nikimpushi Hamza na kuingia ndani.

"Alikua ni David asaiv ni wewe kwani vitanda vyenu vinakunguni" Hamza alisema huku akikaa kweny kochi
"David alikuja hapa?" Niliuliza huku nikikaa kwenye Kochi
"Sasa umtume wewe alaf uulize tena kama alikuja kwani unatumia Gomba skuizi?" Hamza alisema na kunifanya nishangae..

"Nimtume mimi kivipi?" Nilimuuliza
"Devi kaja hapa asubuhi akiwa na simu yako akasema umempa ailete hapa then utaipitia" Hamza alisema huku akiingiza mkono kwenye jinsi yake na kutoa Simu yangu.
"Huyu jamaa atakua anavuta mkokaa" nilisema huku nikichukua simu yangu kwa Hamza

"Kwanini kaka?" Hamza aliuliza huku akiangua kicheko๐
Ikabidi nimpe story ilivyokua toka mwanzo David alipokuja Ghetto na kuondoka.
Pia nikamuambia kuhusu ujio wa wale rafiki zake yan Joli na Frank.
*Hamza alikuna kichwa kisha akasema "Hapo lazima kuna kitu kaka tena so kidogo"

"Kwanini kaka?" Niliuliza huku nikiwasha simu yangu kuhofia huenda imefanyiwa uhuni wowote.
"kama hujaingia cha kike sijui" Hamza alisema huku akipiga na kofi kwa msistizo๐
"Unanikeraga hapo Tu..yan unataka ubembelezwe ndo uongee kitu cha kueleweka" Nilisema huku nikikuna kichwa

"Kwanza vipi hiyo Bahasha ya kina Joli uliikagua ina nini?" Hamza aliuliza
"Hapana kaka nilikua na haraka ya kumtafuta David kwahiyo wakaiweka mezani na me sikuitazama ndani" nilimjibu Hamza
"Yani we jamaa ni mbulula wa mwisho" Hamza alisema huku akinisikitia.

"Unantisha sasa kaka...kwanini unasema hivyo?" Nilimuuliza Hamza
"Kwani We wale wakina Frank hujui kazi zao hapa town?" Hamza aliuliza
"Sasa kaka najulia wapi wakati we unanjua mimi ni mtu wa mishemishe muda wote na hua sifatilii maisha ya watu" Nilimjibu Hamza huku nikijiseti...

Vizuri kwenye sofa.
"Sina uhakika lakini ninamashaka huenda ushanyea kambi ya jeshi tayari" Hamza alisema
"Kaka kua muwazi basi" nilisema
"Wale jamaa wanauza Bange na nahisi kuna ka spesho wamekuandalia" Hamza alisema
"Kaka mbona hukuwahi kuniambia" nilisema huku nikiamka kwenye

Sofa.
"Sasa kaka zile sura zenyew huzioni tu mpaka uambiwe?...me nkajua unajua" Hamza alisema
"Dah! Unadhani na David atakua anahusika?" Nilimuuliza Hamza huku nimeshika kichwa.
"Sina hakika ila nadhani hii mipango yote kasuka David" Hamza alisema
"Sasa mbona mimi sina bifu nae"

Nilimwambia Hamza.
"Sina hakika lakini Embu mpigie shemeji muulize kama amemuona David Maana si wanakaa jirani" Hamza alisema
"Poa" Nilimjibu Hamza huku nikiandika namba ya simu ya mpenzi wangu Aitwae Jamila ambae tulikua na miaka miwili tangu tuwe kwenye mahusiano yetu.

Lakini cha Ajabu nilipoiandika ilikuja bila Jina na wakati nilliisevu "My Only 1โค" hii ilinishtua kidogo na kuhisi huenda David ni kweli anampango mbaya juu yangu kwakua asubuhi Tu kabla sijampa simu nilikua nikiwasiliana na mpenzi wangu ikiwa namba yake imeseviwa "MY ONLY 1โค"
*Mambo ni Mengi muda ni Mchacheโ๐พ.
Je! ni kweli kulikua na mpango mbaya juu yangu?
Kama ndio je! David anahusika?
Kama ndio Je! Ni Kwanini?
Majibu yapo Ep ijayoโ๐พ
Usisahau ๐๐ฝ
Kunifollow @rm_Yatosha
Kumfollow @Bayona_stories
Ku turn On #Notification
#ITAENDELEA..

Loading suggestions...