Digital Nomad ( YT @mafolebaraka)
Digital Nomad ( YT @mafolebaraka)

@mafolebaraka

8 Tweets 13 reads Jun 01, 2023
Subtitling ni moja ya mchongo unaoweza kuanza kuuza kwenye freelancing platforms. Probably usiku mmoja unaweza kumaster namna ya kufanya subtitling especially kama una digital literacy kidogo. Thread hii naiandika maalum kwa ajili ya wanaotaka kujua kufanya subtitling
Shuka nayo
Mara nyingi kazi za subtitling especially kwetu freelancers huwa tunapatiwa ni zile za kusubtitle mazungumzo, filamu ama Show za televisheni.Kazi nyingi za subtitling ni za Eng kwenda Eng na chache za kisw-Kisw na nyingine huwa inalazimu utafasiri lugha kwanza...
Za ndani nilizonazo freelancers wa 2020 kushuka chini walikula sana deals za moja ya Streaming platform kubwa duniani. Wazee wa 254 kama kawaida yao, walikuwa wanazidaka juu kwa juu. Currently naambiwa mchongo huu uko na moja ya agency ya ulaya huko ....
Agency hiyo inaitwa SIGMA kwa freelancer wakongwe wanaijua 🤣🤣. Anyway najua mna hamu ya kufahamu sehemu mnaweza kuapply na kuzipata gigs hizi za subtitling. Niwaondoe shaka tu, kuna sehemu nyingi sana unazoweza kuapply gigs hizo....
Mfano wa sehemu hizo ni pamoja na
1. Freelancing platforms
2.Mitandao ya kijamii
3.Sites za remote working
4.Tovuti za kampuni mbalimbali.Ngoja nikudadavulie kimoja kimoja ....
1.Freelancing platforms
Hizi ni platforms zinazowakutanisha wauza ujuzi na wanunua ujuzi. Kwa kazi za Subtitling nashauri Upwork na Fiverr zaidi japo unaweza tumia na nyingine pia. Subtitling nyingi za kiingereza ndio zinapatikana Upwork huku za Kiswahili ....
Zikipatikana zaidi Fiverr. Upwork mara nyingi client hulipa kwa minutes ambapo wengi hulipa kuanzia usd 1 per minute na kuendelea kulingana na uwezo wako. Huku Fiverr freelancers wengi hucharge kuanzia Usd 5 . Website nyingi za freelancing kujisajili ni bure though utakuwa .....
Charged pale client atakapokulipa. Japo nimepumzika kwa muda ila huwa nimerekodi video mbalimbali kuhusu freelancing.Kupitia youtube channel hii hapa chini
@mafolebaraka" target="_blank" rel="noopener" onclick="event.stopPropagation()">youtube.com
Usiache kusubscribe 🤣🤣🤣
Tuendelee ......

Loading suggestions...