Miss Winnie ✨
Miss Winnie ✨

@Mswinnie_

4 Tweets 47 reads May 26, 2023
Mambo 10 Usiyoyafahamu kuhusu watu wanaokula au kukata kucha kwa meno (Nail bitters)
#Uzi,🍿πŸ”₯πŸ”₯
1.Watu wanaokula kucha mara nyingi ni wazuri wa sura😹😊😊
2. Hawa watu ni wasafi sana❀️😟
3. Ni wakaidi na wabishi sana😱
4. Wanakata au kula kucha zao kwa meno wakiwa wanaogopaπŸ₯΄πŸ₯΄
5. Wanakata au kula kucha zao wakiwa wamechoka au wamenyong'onyeka😟
6.Wanakata au kula kucha zao wakipatwa na uoga(nervous)πŸ₯Ί
7. Wana aibu kwa watu wasiowafahamu ila ukipata kuwafahamu wanakua waongeaji sanaπŸ˜…
8. Wanaweza kulia kwa haraka wakati mwingne 😱
9.Wanatafari au kuwaza vitu kupitiliza(Overthinkers)πŸ™Œ
10.Wanaupendo na kujali sana❀️😍
MwishooπŸ’«πŸ’«
Usisahau kulike retweet na kucomment nifollow @Mswinnie_ turnon notification kupata uzi mkali kama huu kila siku😍😊

Loading suggestions...