4. Safiri na usiseme kwa watu, ishi maisha ya FURAHA na usitangaze...yaani siri ya furaha ni kuacha furaha yako kuwa SIRI, asiri ya binadamu ni kuharibu vitu vizuri!,,kula nyama..nyamaza
5, Hakuna kitakacho badilika mpaka utakapo BADILIKA wewe kwanza.

6. SAFARI pekee ambayo ni ngumu, ni ile tu ambayo haujaianza.
7.Kama watu hawatocheka kuhusu MIPANGO yako, basi fahamu tu mipango yako si mikubwa, haina maajabu.

8.Usisubirie MUDA, kamwe hautokuwa sawa.
9.INASHANGAZA!, Unajipenda wewe zaidi kuliko mtu mwingine, lakini unajali zaidi MAONI yao kuliko ya kwako,!
10.Onekana IMARA pindi ukiwa dhaifu na Onekana dhaifu pindi ukiwa imara!

11.Ongea kidogo, tenda ZAIDI...chuki kidogo, upendo zaidi... Haribu kidogo, TENGENEZA zaidi...si masengenyo bali kuongeza thamani,
12.Njia pekee ya KUFANIKISHA ni kuwa na uvumilivu + Nidhamu + kuwa na muendelezo..

13. Ukiwa na vitu viwili muhimu vya kuchagua na vyote ni muhimu, chagua kile kilicho KIGUMU na chenye maumivu ya muda.
14.Njia pekee ya kushinda ni KUTOKUKATA tamaa!
15. Njia pekee ya kubadili maisha ni KUBADILI tabia

16. Mtu pekee unayeweza kummiliki na kumuendesha ni WEWE (You) pekee.
17.Itaonekana NGUMU MWANZONI!,..na ndivyo ilivyo, kila kitu ni kigumu mwanzoni.
18. HAKUNA ANAYEJALI kuhusu wewe,, weka akili yako ielewe hilo.

19.Usifurulize kutokufanya jambo lenye manufaa kwako, (never skip twice)
20. Haijalishi UNATEMBEA taratibu kiasi gani, HAKIKISHA unasonga mbele,!
#Firstmate was here
@abbycool2_

Loading suggestions...