bongotech2โต5๐ŸŽฎ๐ŸŽง๐Ÿ›œ
bongotech2โต5๐ŸŽฎ๐ŸŽง๐Ÿ›œ

@Bongotech255

7 Tweets 30 reads Apr 27, 2023
๐—๐—ถ๐—ป๐˜€๐—ถ ๐˜†๐—ฎ ๐—ธ๐˜‚๐˜๐˜‚๐—บ๐—ถ๐—ฎ ๐—ฎ๐—ธ๐—ฎ๐˜‚๐—ป๐˜๐—ถ ๐—บ๐—ฏ๐—ถ๐—น๐—ถ ๐˜‡๐—ฎ ๐—ช๐—ต๐—ฎ๐˜๐˜€๐—ฎ๐—ฝ๐—ฝ ๐—ธ๐˜„๐—ฒ๐—ป๐˜†๐—ฒ ๐˜€๐—ถ๐—บ๐˜‚ ๐—บ๐—ผ๐—ท๐—ฎ
Hivi unajua unaweza tumia simu moja kutengeneza akaunti mbili za Whatsapp bila kupakua app, sio lazima huwe na Gb Whatsapp pamoja na normal Whatsapp
Uzi huu wako๐Ÿ‘‡
Najua nikisema hivyo basi mtu hatajibu kuwa naweka Whatsapp gb pamoja na normal Whatsapp au Whatsapp business pamoja na normal Whatsapp ๐Ÿ˜€ hapana sio ivyo !!
Relax we fanya ku retweet kisha like tuendelee na story si unajua teknolijia ni Yetu sote ๐Ÿ‘Š
#bongotech255
Leo nitakuambia jinsi ya kufanya njia hii ni rahisi sana โœ๏ธ utaweza kutumia akaunti mbili za Whatsapp kwenye simu yako yani hapa ngoja nitumie neno jepesi
Tunaigawa Whatsapp yako moja mara mbili nazani umenielewa itakufanya uweze kutumia akaunti Zaidi ya moja kwenye simu yako.
๐Ÿ”ปINFINIX
watumiaji wa Infinix fanya hivi ingia setting kisha search >>> xclone utaona Kuna Fb , Insta , Whatsapp nk utachagua unayotaka.
๐Ÿ”ปSAMSUNG
Watumiaji wa Samsung Sasa fanya hivi ingia setting >> advance feature >>dual messenger >> chagua app yako kisha utaweza kuzigawa.
๐Ÿ”ปONE PLUS
Watumiaji wa One plus fanya hivi ingia setting >> utilities >> parallel apps utachagua app yako unayotakaโœ“
๐Ÿ”ปRedmi
Kama unatumia Redmi fanya hivi ingia setting dual app alafu tafuta yako unayotaka.
๐Ÿ”ปRealme
Realme Sasa fanya hivi ingia setting kisha app management malizia kwa kubonyeza app cloner chagua app yako.
๐Ÿ”ปTECNO ๐Ÿ˜€
Kama hujaona setting hizi kwenye simu yako basi unaweza kutumia app mbalimbali kama vile dual space , parallel space kwenye soko la play store
๐Ÿ”ป iphone
Kwa watumiaji wa iphone ingia kwenye Library kisha shikilia app unayotaka kuigawa Zaidi ya mara moja alafu ipeleke kwenye home screen utaweza kutumia bila kudownload download
Ukishindwa ingia soko la app store pakua program ya multi social au Dual spaces

Loading suggestions...