bongotech2โต5๐ŸŽฎ๐ŸŽง๐Ÿ›œ
bongotech2โต5๐ŸŽฎ๐ŸŽง๐Ÿ›œ

@Bongotech255

7 Tweets 17 reads Apr 26, 2023
๐—ง๐—ฎ๐—ฏ๐—ถ๐—ฎ ๐˜†๐—ฎ ๐—ธ๐˜‚๐˜€๐—ฎ๐—ต๐—ฎ๐˜‚ ๐—ฝ๐—ฎ๐˜€๐˜€๐˜„๐—ผ๐—ฟd
Watu wengi hawajui kuwa ๐—š๐—ผ๐—ผ๐—ด๐—น๐—ฒ ๐—ฐ๐—ต๐—ฟ๐—ผ๐—บ๐—ฒ wamekua wakituhifadhia password zetu toka tuanze kutumia simu. Google ni kivinjari pendwa ulimwenguni kimekua kikitumika sana Kwenye vifaa vyetu
Like & retweet ๐Ÿซฃ tuendelee na story
Kupitia ๐—š๐—ผ๐—ผ๐—ด๐—น๐—ฒ ๐—ฐ๐—ต๐—ฟ๐—ผ๐—บ๐—ฒ pia wakati unajiunga na mitandao yako ya kijamii huwa Wana kuhifadhia password yako bila wewe kujua kuanzia kwenye website ulizotembelea, social media pamoja na app mbalimbali zilizokuwa kwenye simu.
Retweet bhana tujifunze wengi ๐Ÿ˜Š
Ikitokea Umesahau password zako za mitandao ya kijamii au sehemu mbalimbali basi kupitia Google chrome fanya hivi ๐Ÿ‘‡
๐Ÿ”ปKwa watumiaji wa simu za ๐—ฎ๐—ป๐—ฑ๐—ฟ๐—ผ๐—ถ๐—ฑ & ๐—ถ๐—ฝ๐—ต๐—ผ๐—ป๐—ฒ ingia kwenye google chrome kisha
โ€ข ingia setting alafu >> password manager
โ€ข chsgua account unayotaka ku view password
โ€ข ukitaka kujua password ya social utaweka pin ya simu yako utaweza kuona password zako zote
๐Ÿ”ปKupata ๐—ฝ๐—ฎ๐˜€๐˜€๐˜„๐—ผ๐—ฟ๐—ฑ kwenye ๐—ธ๐—ผ๐—บ๐—ฝ๐˜†๐˜‚๐˜๐—ฎ ingia kwenye google chrome kisha
โ€ข ingia setting kwenye google chrome
โ€ข chagua Autofil kisha password
โ€ข utaweza kuona password zako zote ulizosave kwenye google chrome
โ€ข bonyeza kwenye Eye icon kuweza kutizama password
Utakua na uwezo wa ku copy , paste, ku editi na ku remove password yako ukihitaji.hii ndo njia ambayo utaweza kupata access ya password zako zote za mitandao ya kijamii au sehemu mbalimbali ikiwa umesahau
๐—ž๐˜‚๐—บ๐—ฏ๐˜‚๐—ธ๐—ฎ โ˜‘๏ธ
Sio lazima kila wakati u reset password kwenye social media kupitia Google chrome utaweza kuziona password zako zote ๐Ÿ˜Š
ulikua unajua hii au ndo tunakujuza tuachie maoni yako?
#bongotech255

Loading suggestions...