2 Tweets 680 reads Apr 26, 2023
TUMIA CIU YA JIRANI YAKO IKIWA UMEKWAMA KABAISA KUWEKA UMEME
Kwa wale wanao tumia meter na Customer Interface Unit aina ya inhemeter ukitaka Kushare na Jirani yako basi chukua remote ya Jirani yako afu weka 59698686 + Meter Number + OK
Hapa ni Meter zote (37, 54, 43)
Kwa Wale wa 2431, 2421, 2473 (Washon) tumia 0+mn+0+mn +Ok
#Ekepot97
Baada ya kuwa umefanikiwa kuinguza umeme mwenye hiyo remote atakapo kuja kuweka umeme lazima afanye kwa kufuata hatua hizo hizo.
Kwa wale wa 54
Tumia 1593570 + meter number +OK.
Kuna Meter Nyingi 99, 07 etc tutaleta Code Zote lengo ni kutatua matatizo inavyowezekana

Loading suggestions...