πŠπˆπ‘π€ππ‰π€
πŠπˆπ‘π€ππ‰π€

@Vanny_tom

12 Tweets 284 reads Apr 14, 2023
UZIπŸ˜‹
SEHEMU AMBAZO UNAWEZA KUTEMBELEA NA KUPATA HUDUMA YA SWIMMING POOL AROUND MOROGORO MJINI;
πŸ‘‡πŸΏπŸ‘‡πŸΏπŸ‘‡πŸΏπŸ‘‡πŸΏπŸ‘‡πŸΏπŸ‘‡πŸΏπŸ‘‡πŸΏπŸ‘‡πŸΏ
Kindly RetweetπŸ™πŸΏπŸ™πŸΏ
#morogoro #vannytom #kiranja
1. CAMP KIOTANI:
Ni sehemu nzuri sana inayopatikana Dakawa wilayani Morogoro.
Kutoka Morogoro mjini ni mwendo wa lisaa limoja tu,48km.
Ukiwa Camp kiotani utapata huduma zote za camping,uendeshaji wa baiskeli,kucheza mpira,kukoka moto,kuchoma nyama,swimming n.k
2,SIMBAMWENNI TENTED LODGE:
Ni boonge moja la place ambayo ukiona picha zake kwa mara ya kwanza si rahisi ukaamini kuwa iko around Morogoro mjini.
Ni kilometa 5 tu ukitokea mjini mwendo kama wa Dakika 10 tu.
Ukifika hapo utapata huduma zote za camping pamoja na swimming.
3.EDELWYSS-INN:
Ni sehemu inayo patikana juu ya mlima kabisa,ukifika hapo utaweza kujionea mji wote wa Morogoro.
Ni sehemu ambayo imetulia sana,utaweza kupata huduma ya swimming,kupiga piano,kusoma vitabu n.k
Ni kilometa 4 kama utatokea mjini
#morogoro #vannytom #kiranja
4. HIGHLAND 255:
Inapatikana Kilometa 7 kutokea Morogoro mjini.
Ni sehemu yenye matunzo haswa na iko chini ya safi ya milima pia pakimya mnoo.
Yanafanyika makongamano ya kidini,kambi za mpira,swimming n.k
#morogoro #vannytom #kiranja
5. MOROGORO HOTEL;
Ni moja kati ya sehemu maarufu na za muda mrefu hapa Morogoro mjini.
Ni kilometa 2 tu kutokea mjini,ukienda hapo utajipatia huduma ya swimming,kumbi za mikutano,vyumba vya wageni n.k
Ukipata time karibu MorogoroπŸ™πŸΏ
#morogorohotel #vannytom #kiranja
6. MORENA HOTEL,MOROGORO;
Ni sehemu mpya kwa Morogoro nayo pia iko mjini kabisa.
Ina sehemu kubwa ya swimming na mazingira mazuri kwa ujumla.
Ni kilometa 3 tu kutokea mjini.
Unaweza pia ukapata sehemu za kufanyia mikutano,rooms,n.k
#morenamorogoro #vannytom #kiranja
7. NASHERA HOTEL,MOROGORO;
Iko karibu sana na mjini,kwa makadilio kilometa 2 tu kutokea mjini.
Sehemu pendwa kwa wakazi wa morogoro,utajipatia huduma ya Swimming,Rooms,Vyumba vya mikutano,n.k
#nasherahotel #vannytom #kiranja
8. CATE HOTEL,MOROGORO;
Kama umewahi kusafiri kuelekea Dar ukipitia Morogoro ni rahisi kuifahamu kwa maana iko barabarani kabisa.
Ukifika hapo utapata huduma ya supermarket,salon,rooms,kumbi za sherehe,swimming n.k
Ni kilometa 11 tu kutokea mjiniπŸ˜‹
#catehotel #vannytom
9. GWATA CAMP;
Hii inapatikana mpakani mwa mkoa wa Morogoro na Pwani.
Ni kilometa 47 tu ukitokea Morogoro mjini.
Ukifika utaweza kupata huduma ya vyakula vya asili,bonfire,swimming,camping,n.k
#morogoro #gwata #vannytom
10. THE GALLAXY RECREATIONAL;
Kama unapenda kujipendelea sehemu ambayo hautopata usumbufu wa aina yoyote hii pia iwe kwenye chaguo lako.
Ni kilometa 15 kutokea Mjini.
Utajipatia huduma ya camping,bonfire,events places,swimming for kids,sehemu za kupigia picha n.k
Kwa leo naomba tuishie hapa.
Asante sana kwa time yakoπŸ™πŸΏ
Nisaidie ku RETWEET🫑
Ukipata Time karibia MorogoroπŸ™πŸΏ
#Morogoro #kiranja #vannytom

Loading suggestions...