NFP (Non-farm payrolls) ni nini na jinsi ya kujua Predictions zake sokoni.
#Elimikawikendi
#Elimikawikendi
Non-Farm Payrolls ni nini?
NFP ni kipimo cha namba ya watu walio ajiriwa kwenye Uchumi wa marekani tukitoa sekta ya Kilimo.
Hizi data zinatolewa na Shirika la Bureau of Labor Statistics (BLS) ambao wanakusaya reports kujua watu wangapi wameajiriwa.

Hizi data reports hua zinatolewa kila Ijumaa ya mwanzo wa mwezi. Hua inakua Saa 3:30PM muda wa Tanzania.
Tukiongelea Macro Indicators moja wapo Unemployment rates zinatusaidia kujua uchumi utakua kwa asilimia gani.
Kwenye soko la forex inatusaidia kujua kama pairs zenye USD zinaBuy au zitaSell kwa kusoma previously data reports.
Kwenye soko la forex inatusaidia kujua kama pairs zenye USD zinaBuy au zitaSell kwa kusoma previously data reports.
... Hivohivo hata ikiwa tunategemea namba ya watu walio ajiriwa njee ya sekta ya kilimo itashuka basi US Dollar Itashuka thamani yake.
Macro economic indicators upande wa monetary policies tunagusa indicators kama GDP, Inflation, Interest rates, CPI, Unemployment rates , Balance of trades hizo zote tunazitumia kujua uchumi wa nchi flani unapanda au unashuka ili kufanya maamzi sokoni.
Loading suggestions...