criannicas♟️
criannicas♟️

@criannicas_

18 Tweets 11 reads Feb 04, 2022
#THREAD Let’s say sikufanya investiment kwenye crypto wakati btc ilikua $10K, $20K ,$40K …
Now 2021 ndio nifanye investiment , naanzaje?
Coin gani nianze nazo?
Wallet gani nitumie?
👇👇
#Thread #retweet
Cryptocurrency ni digital money amabayo haiwezi kua controlled na central system yoyote kama government. Kwenye crypto market kuna coins ambazo thamani zake zinapanda na kushuka just like Forex market.
unaweza benefit kupitia thamani zake kwa kununua bei yake ikiwa down na kuuza bei yake ikiwa imepanda mfano kama ulinunua btc ikiwa $10k unaweka kuuza sasahivi ikiwa imepanda ukahold hadi target yako.
Jinsi gani unaweza kufanya ?
Kabla ya kuchagua coin gani ya kununua inatakiwa kua na biticoin wallet.
Bitcoin wallet utaipata mtandaoini kulingana na mazingira uliyopo. Kuna wallet zipo regulated kutumika nchi flani … mfn Tz hatuwezi kutumia coinbase, robinhood.
Anway nirahisishe hapa kwenye biticoin wallet. Kwa Tz unaweza tumia Binance(binance.com) , Remitano (remitano.com) au Okex zipo nyingi.
Warning kwa mtu ambae ndipo unaanza, crypto market unaweza tengeneza pesa nyingi lakini hakikisha unawekeza kiasi cha pesa ambacho unakimudu.
So, kama ndio naanza huu mwaka siwezi kununua bitcoin kwa short-term investiment, why??
Bitcoin ipo high while kuna linked up coins ambazo as bitcoin inaongezeka value pia coins nyingine bei zake zinapanda.
Before hujafanya investiment kuna vitu vya kuzingatia >> lazima ufanya research USIANGALIE JUST PRICE AU HYPER
1.Angalia transaction privacy ya hyo coin , 2. Duration ya hiyo kampuni , 3. Angalia demand supply, 4. Price stability , 5. Payment reputation 6. Future demand ya hiyo coin, 7. Problem solution ya coin.
So, Coin ya kwanza kabisa nitaangalia
1.Ripple ($XRP)
Market cap $78b,
Circulating supply $45b
2. Polkadot ($DOT)
Market cap $40b
Circulating supply $$929m
3.Cardano ($ADA)
Price $1.48
Market cap $47b
Circulating supply $31b
4. Nexo ($NEXO)
Price $3
Market cap $2b
Circulating supply $560m
5. Stellar ($XLM)
Price $0.63
Market cap $14b
Circulating supply $22b
6. Binance ($BNB)
Price per coin $549
Market cap $85b
Circulating supply $5b
7. Ethereum ($ETH)
Price per coin $2,477
Market cap $286b
Circulating supply $155m
8. Tether ($USDT)
Hii tunaita stable coin. Naitumia kama nahitaji kufanya payments au kufanya withdrawals.
Reason ni kuepuka market volatility.
Mind you, kama ndio kwanza unaanza wekeza kwanza kwenye knowledge.
@threader_app #compile

Loading suggestions...