criannicas♟️
criannicas♟️

@criannicas_

21 Tweets 46 reads May 08, 2022
Nataka nielezee kidogo kuhusu Biashara ya forex kwa ambae ndo anaanza kujifunza, anatamani kujifunza au ambae amekata tamaa
Biashara ya forex sio biashara ngeni kwa bongo, imekuwepo.. ni biashara ambayo inafanywa na Central banks (mfano, BoT), Commercial Banks, Governments, Hedge Funds na Makampuni makubwa, na Retail Traders (hawa ni wafanya biashara wadogo kwa maana wanakua na mitaji modogo)
Inahusisha kubadilishana pesa mtandaoni.. nitolee mfano. Ukiwa unaenda Kenya uko na Tsh 100k utafika mpakani ili kubadilisha Tsh yako kwenda Kshil. Kitendo cha kubalisha Tsh to Ksh tayari hyo tunaita Foreign Exchange. Hapo anakuwepo ww uliye nunua na Aliye kuuzia.
Century iliyopita foreign exchange ilikua inafanyika Physically kama huo mfano wa Tsh na Ksh. Currently kwa sabab ya Technology kukua inaweza kufanyika online. Ambapo Buyers na Sellers hukutana. Kitu ambacho kinafanyika ili wewe kuweza kufanya forex lazima upate mkutanishi
Huyo mkutanishi (au Broker) ndie anakukutanisha na buyers na Sellers kwenye soko la Forex. Brokers wapo wengi sana na wanapatikana mtandaoni. Kuna vigezo vya kumjua Forex broker ambae yupo legit yaani ambae sio scammer (au mwizi).
kwa Bongo bado hamna sheria ambayo zinalinda kati ya Broker na client yaani wewe ukienda kufungua account kwa broker alafu akakimbia na pesa yako hakuna sheria inayokulinda "kwa Tanzania lakin" Na hizi sheria zinawekwa na BoT. Mwaka jana kama sijakosea BoT walitoa waraka
Tukiachana na Broker kwanza maana kuna Tips za kujua yupi broker ni legit nitakuja niziongelee vizuri
Tanzania ukilinganisha na nchi nyingne kama Kenya, South Africa, Namibia au Nigeria kwa Africa bado Tanzania tupo nyuma kwa sababu ambazo ntazitoa hapa
1. Hakuna elimu dhabiti kujifunza na kueleelwa Forex ni kitu gani. Forex ni biashara ambayo ni wide sana na inahitaji elimu kabra hujawekeza. Assume forex sio tu kubadilishana sarafu tu, unaweza trade commodities kama gold, Mafuta (Oil), silver au Indecies kama Nasdaq au share
Mchezo unaotokea hapa Tanzania na watu kuiita biashara ya wizi ni hii hapa... Kwasababu ya uhitaji wa Elimu unakuta Kijana tu mdogo anaanza kujifunza kupitia YouTube au Google au forum yoyote... bila kujali ni muda gani ametumia kujifunza, anaweka pesa zake na kupata hasara.
Hapa ndo Forex itapewa majina kua ni biashara ya wizi.
2. Kutaka pesa ya haraka. Kama tunavojua kila mtu anataka pesa ya shortcut. Ukiingia mtandaoni utaona lifestyle ya Forex traders wanavoiishi maisha yao but trust me, Hujui kaanguka mala ngapi kufika pale or kapoteza pesa ngap kufika pale. Forex inahitaji process
Forex inahitaji discipline ya hali ya juu.. na kama huna itakufundisha. Ni industry ambayo ukiingia inakufundisha jinsi ya kufikikia smart at age of 16 kama real man. Na hyo yote inatokana na kujifunza kila siku kuhusu pesa au investments. Sio biashara ya Kutajirka haraka
2. Kupenda pesa ya haraka. hii ni sababu ya pili kufanya bongo wengi hua wanakimbia hii biashara. Forex inahitaji process na huwezi kuruka hata step moja.
Mfano : Ukiwa unaanza Forex trading ni lazima ujifunze/kufundisha na mtu ambae katoboa tayari sisi tunamuita Mentor. Ukisha jifunza unaingia kutest ulichojifunza kwenye Demo a/c ( ni a/c ambayo unapewa na Broker wako ikiwa na virtual money.. ni kwa ajili ya kujifunzia)
Tunashauri ukutest ulichojifunza kwa muda usio zidi Miezi sita (6 months).. hapa ndo waTz tunakwama sasa.. unakuja siku mbili mtu kapiga msuli huko YouTube kesho kutwa anaanza kutrade real account.. bro usifanye hvo unakosea😅😅. Usiruke step utaumia
Miezi sita umetrade ukatest ulichojifunza kama matokeo yako ni sawa. ( Hapa jipime kutumia either unaweza kutumia myforexbook.com ukawa unatrack record zako)
Step 4, Fund account yako hapa naelezea vizuri kabisa
Mostly inatokea unajifunza forex ukiwa na hali ngumu ya maisha kwa maana.. pesa inakua ngumu. Natoa trick ya kutumia. Hua tunashauri kufund a/c pesa ambayo hata ikipotea isikuume au ikatengeneza emotions mbaya. Mfano kama unaweza afford kupata Dollar 100 above fundi
Tip ya pili, kama huna pesa kabisa yan choka mbaya ila unaweza kupata hata tsh 20k.. ingia Google tafuta brokers ambao wanaweza kutoa account ya Cent. (Cent a/c inakua ni real kabisa lakin ukiweka dollar 1= inasoma $100 so kama uko na $5 = $500) hii itakusaidia kutest skills
Trick ya kutumia cent a/c itakusaidia kuweza kutrade real money huku unagain confidence ya soko same time unatest skills zako, same time unaearn Profits. Usinielewe vibaya.. kutumia cent a/c ni trick ya kutumia kama huna pesa kabisa.
Leo naishia hapa. kama uko na swali unaweza uliza. Mtanisamehe🙏 nimekua nachapia

Loading suggestions...